Ibrah Thedon
Ibrah Thedon
  • 247
  • 8 110 903
UKIACHWA ACHIKA
Usilazimishe upendo kwa mtu ambaye hakupendi
Переглядів: 2 461

Відео

KUNGWI DUME: KUTOKWA NA MAJIMAJI UKENI
Переглядів 12 тис.Місяць тому
Baadhi ya wanawake wamekuwa na hali ya kutokwa na majimaji ukeni bila kujua chanzo ni nini, Kupitia video hii utajifunza ni nini hasa kinachokufanya uke wako kutoa majimaji.
KUNGWI DUME: MAMBO YANAYOFANYIKA CHUMBANI
Переглядів 14 тис.Місяць тому
Kuwa bora na mwenye ubunifu wa hali ya juu kwa kujifunza mamo yanayofanyika chumbani
KUNGWI DUME: JIFUNZE KUSAFISHA UKE
Переглядів 47 тис.Місяць тому
Karibu ujifunze namna ya kusafisha UKE wako na kuepuka na harufu mbaya zinazotoka ukeni.
KUNGWI DUME sehemu ya Ishirini na Tano
Переглядів 23 тис.2 місяці тому
"KUNGWI kakupa mzungu huujui maana yake mfate akakwambie maana ili uondokane na usungo, Siku zote mwanamke mazingira jambo la kwanza ni kujipenda na ndio maana ya pambo la nyumba"
KUNGWI DUME: KUIFINYIA KWA NDANI
Переглядів 128 тис.2 місяці тому
Jifunze namna ya kuifinyia kwa ndani
KUNGWI DUME KUFUNDA
Переглядів 4,3 тис.2 місяці тому
Imarisha ndoa yako kwa kuzingatia misingi ya dini na kumfanyia mambo mazuri mke wako ili ajisikie furaha kuolewa na wewe.
KUNGWI DUME sehemu ya ishirini na NNE
Переглядів 19 тис.2 місяці тому
"KUNGWI kakupa mzungu huujui maana yake mfate akakwambie maana ili uondokane na usungo, Siku zote mwanamke mazingira jambo la kwanza ni kujipenda na ndio maana ya pambo la nyumba"
KUNGWI DUME sehemu ya Ishirini na Tatu
Переглядів 15 тис.3 місяці тому
"KUNGWI kakupa mzungu huujui maana yake mfate akakwambie maana ili uondokane na usungo, Siku zote mwanamke mazingira jambo la kwanza ni kujipenda na ndio maana ya pambo la nyumba"
KUNGWI DUME sehemu ya ishirini na Mbili
Переглядів 15 тис.3 місяці тому
"KUNGWI kakupa mzungu huujui maana yake mfate akakwambie maana ili uondokane na usungo, Siku zote mwanamke mazingira jambo la kwanza ni kujipenda na ndio maana ya pambo la nyumba"
KUNGWI DUME sehemu ya ishirini na moja
Переглядів 18 тис.4 місяці тому
"KUNGWI kakupa mzungu huujui maana yake mfate akakwambie maana ili uondokane na usungo, Siku zote mwanamke mazingira jambo la kwanza ni kujipenda na ndio maana ya pambo la nyumba"
KUNGWI DUME sehemu ya Ishirini
Переглядів 19 тис.4 місяці тому
"KUNGWI kakupa mzungu huujui maana yake mfate akakwambie maana ili uondokane na usungo, Siku zote mwanamke mazingira jambo la kwanza ni kujipenda na ndio maana ya pambo la nyumba"
SOMO YA MWALI
Переглядів 7 тис.5 місяців тому
Jifunze mambo ya ndoa kabla ya ndoa
KUNGWI DUME Sehemu ya kumi na TISA
Переглядів 22 тис.5 місяців тому
KUNGWI DUME Sehemu ya kumi na TISA
KUNGWI DUME sehemu ya kumi na NANE
Переглядів 22 тис.5 місяців тому
KUNGWI DUME sehemu ya kumi na NANE
KUNGWI DUME sehemu ya kumi na SABA
Переглядів 24 тис.6 місяців тому
KUNGWI DUME sehemu ya kumi na SABA
KUNGWI DUME sehemu ya kumi na Sita
Переглядів 22 тис.7 місяців тому
KUNGWI DUME sehemu ya kumi na Sita
KUNGWI DUME sehemu ya kumi na Tano
Переглядів 27 тис.7 місяців тому
KUNGWI DUME sehemu ya kumi na Tano
Omba pesa kwa mambo ya msingi
Переглядів 4,3 тис.8 місяців тому
Omba pesa kwa mambo ya msingi
Usivunjike Moyo
Переглядів 2,5 тис.9 місяців тому
Usivunjike Moyo
KUNGWI DUME: SUFURIA NA UTWASI
Переглядів 27 тис.9 місяців тому
KUNGWI DUME: SUFURIA NA UTWASI
KUNGWI DUME sehemu ya kumi na Nne
Переглядів 48 тис.9 місяців тому
KUNGWI DUME sehemu ya kumi na Nne
GUBU LA MAWIFI
Переглядів 4,3 тис.9 місяців тому
GUBU LA MAWIFI
KUNGWI DUME sehemu ya Kumi na Tatu
Переглядів 34 тис.9 місяців тому
KUNGWI DUME sehemu ya Kumi na Tatu
KUNGWI DUME sehemu ya Kumi na mbili
Переглядів 40 тис.10 місяців тому
KUNGWI DUME sehemu ya Kumi na mbili
KUNGWI DUME sehemu ya kumi na moja
Переглядів 56 тис.10 місяців тому
KUNGWI DUME sehemu ya kumi na moja
KUNGWI DUME sehemu ya Kumi
Переглядів 73 тис.10 місяців тому
KUNGWI DUME sehemu ya Kumi
KUNGWI DUME sehemu ya TISA
Переглядів 51 тис.10 місяців тому
KUNGWI DUME sehemu ya TISA
Mshukuru Mungu kwa kila jambo
Переглядів 2,8 тис.11 місяців тому
Mshukuru Mungu kwa kila jambo
KUNGWI DUME sehemu ya NANE
Переглядів 46 тис.Рік тому
KUNGWI DUME sehemu ya NANE

КОМЕНТАРІ

  • @ClintonClish-oz2df
    @ClintonClish-oz2df 7 годин тому

    Napenda sana mafunzo yako mama nimejifunza kitu kwa hi sinema

  • @user-ez6cy4pj8z
    @user-ez6cy4pj8z День тому

    Congrats The Don

  • @stellatogolai1633
    @stellatogolai1633 День тому

    Hongeai sana

  • @user-pl6gt3sz6q
    @user-pl6gt3sz6q 2 дні тому

    Nazihitaj mim kungwi hozo shanga za urembo

  • @user-sd7ms7wf9t
    @user-sd7ms7wf9t 3 дні тому

    ❤❤❤❤

  • @FestoMgallah-l9j
    @FestoMgallah-l9j 3 дні тому

    Daaaah movie kali sana hii

  • @BeatriceNashon
    @BeatriceNashon 4 дні тому

    Barikiwa kaka❤

  • @SaidatiNiyonkuru
    @SaidatiNiyonkuru 4 дні тому

    Kaka naomba ukaniunge kweny grp ya WhatsApp

  • @NiyonkuruJeanne-ur2yz
    @NiyonkuruJeanne-ur2yz 5 днів тому

    vizur sana

  • @Imran-i7p
    @Imran-i7p 6 днів тому

    Kungwi niunge kwenye group

  • @MudhihiryOmary-x4u
    @MudhihiryOmary-x4u 6 днів тому

    jinsi ya kujiunga na ww kungwi

  • @LatifahKhamis
    @LatifahKhamis 6 днів тому

    Mashallah kweli kabisa🎉🎉

  • @gentilcharlesmutima3674
    @gentilcharlesmutima3674 8 днів тому

    Charles

  • @Shaahamedy
    @Shaahamedy 9 днів тому

    Samahani kungwi naomba ukiwa unaelekeza jambo jitahid kuingia katika mada zaidi kwa sababu melelezo yanakuwa.mengi kuliko somo.lenyewe mm binafsi sijakuelewa kuhusu kuifinyia kwa ndani

  • @user-yh5jz4xd4g
    @user-yh5jz4xd4g 9 днів тому

    Umenitoa mbali kungwi❤❤❤

  • @JescaPetro-fr5vv
    @JescaPetro-fr5vv 10 днів тому

    kungwi naomba uniunge kwenye grup lako

  • @MohamedMwachega-x6c
    @MohamedMwachega-x6c 11 днів тому

    Kweli kabisa❤

  • @MohamedMwachega-x6c
    @MohamedMwachega-x6c 11 днів тому

    Maa shaa Allah ubarikiwe kaka una mafunzo mazuri sana❤

  • @user-zj7tg1nc7v
    @user-zj7tg1nc7v 11 днів тому

    Nimechelewa kuyajua haya kumbe watu wanafaidi nilikua nikiona kungwi dume napuuzia kumbe kuna mafundisho mazuri sana kwakweli unatutoa tongotongo

  • @abubakarhaji-8005
    @abubakarhaji-8005 11 днів тому

    Ukitaka kujiunga na group sheria zake ni zipi ?

  • @AnethPaschal-pi7wv
    @AnethPaschal-pi7wv 11 днів тому

    Kungwi asantee...nilikua sijui mengi ..najifunza sana na nazidi kujifunza..ila naomba uniunge kwa grop la WhatsApp kaka

  • @CynthiaIrakoze-tj9ve
    @CynthiaIrakoze-tj9ve 11 днів тому

    Kaka samahani Mimi sijuwi suyifinyia ndani 😢😢😢 imondani nifundishe nifanye anje???

  • @StellamariesKaninistellamaries
    @StellamariesKaninistellamaries 11 днів тому

    Mimi kutoka Kenya nko makini kwa darasa lako kugwi mm nna shida ya kutokwa arufu ukeni nisaindie

  • @Asmini-xp5ld
    @Asmini-xp5ld 11 днів тому

    Mm nsomb maaan ya rangi za xhanga

  • @Asmini-xp5ld
    @Asmini-xp5ld 11 днів тому

    Mali huyu hafai ataa

  • @wadhhatnassor4777
    @wadhhatnassor4777 13 днів тому

    mm natk kuungwa kwny group

  • @user-ih9sy5pw4q
    @user-ih9sy5pw4q 13 днів тому

    Kwa wake ambalo wanajichua unawasaidiaje

  • @user-fg5pd4ku3i
    @user-fg5pd4ku3i 14 днів тому

    Mbon hawa wanawake wote ni wanene mnakula chura au 😂😂😂😂😂😂😂

  • @Asiya-sh9en
    @Asiya-sh9en 14 днів тому

    Ongera kungwi

  • @user-he6yc9bv6w
    @user-he6yc9bv6w 15 днів тому

    Mi nahitaji jinsi kummasaji mume

  • @user-nh6ne7eb9t
    @user-nh6ne7eb9t 16 днів тому

    Mwaka wa ukiolewa ntakutafuta kaka yangu

  • @mariamchepkoech323
    @mariamchepkoech323 16 днів тому

    Naomba kuwekwa kwa grup kaka

  • @carlynemgonja-2004
    @carlynemgonja-2004 16 днів тому

    wasambaa nione like zenu hapa

  • @sabinahassan8421
    @sabinahassan8421 16 днів тому

    Mukiwa kwenye tendo la ndoa kitandani vikuwepo vihanjifu ngapi na matumizi yake pls

  • @RoseZachalia
    @RoseZachalia 18 днів тому

    26:06 26:08

  • @RoseZachalia
    @RoseZachalia 18 днів тому

    Nimekupenda ninakupataje

  • @user-nj5xx1uw8j
    @user-nj5xx1uw8j 19 днів тому

    Kwali kugwi❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉😢😢😢😢

  • @AbibaRegine
    @AbibaRegine 20 днів тому

    Ebu kaka niunge kwa groupe

  • @AbibaRegine
    @AbibaRegine 20 днів тому

    Kike kuwa moto nisahidiye

  • @agripinajastini-kh3bt
    @agripinajastini-kh3bt 21 день тому

    Kungwi dume naomba kuungwa kwenye group💕

  • @Husna-yd8zg
    @Husna-yd8zg 22 дні тому

    Ukwel kaka dume

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti 22 дні тому

    🔥🔥🥲

  • @NadhifaAbdallah-mo9gs
    @NadhifaAbdallah-mo9gs 22 дні тому

    Jamani 😢mm sijui kaka kufinyia kwa ndani sijui yani kama siwezi vile

    • @user-km2vm4rc8f
      @user-km2vm4rc8f 19 днів тому

      Kufinyia kwandani nikama unabana mkojo vile unajikaza kwanguvu

  • @user-mb9dv9os2k
    @user-mb9dv9os2k 22 дні тому

    MAA SHAA ALLAH ahsanteee kwa funzo zuri

  • @MwanamisiMwamakalo
    @MwanamisiMwamakalo 22 дні тому

    ❤❤❤❤

  • @franciscakija1702
    @franciscakija1702 22 дні тому

    Kaka inbra habar Samahan, mwanamume kumwambia mwanamke kuwa yeye maskini, *utawezaje kuishi na mtu asiyejiweza kimaisha, kiuchumi*??? Jaman anamaana gani huyu??

    • @SakinaHassani-xm7ti
      @SakinaHassani-xm7ti 22 дні тому

      Huwenda anakupima upendo wako, eidha kweli ni mackin na akutaka kukuficha kitu zid ya maisha yake, ila kama kweli una mpenda na yeye ana kupenda, maisha ni kutafuta tu kwa wote wawili ndio cku zoote huwa rahic, zingatiq (hakuna alio zaliwa tajir)

  • @shukurumushi6309
    @shukurumushi6309 22 дні тому

    Hii ni kweli lakin inaumiza moyo

  • @zamalisaide3209
    @zamalisaide3209 22 дні тому

    Asante kwa funzo nimelipenda n nitalifanyia kazi kungwi dume shukurani san

  • @annamnyazi8206
    @annamnyazi8206 22 дні тому

    ❤❤❤❤❤❤

  • @user-mm1ll8gu2w
    @user-mm1ll8gu2w 22 дні тому

    👌👌👌